Je unajua kwamba unaweza ukabadilisha IMEI ya smartphone yako?
Kama ulikuwa hujui basi jibu ndio unaweza ukabadilisha IMEI ya simu yoyote
kwa kwa kutumia Software Rahisi kabisa
Unaweza ukabadilisha IMEI namba ya Samsung, Nokia, HTC, Micromax, Motorola or simu yoyote ya Android . Njia hii ni salama na rahisi kwa kubadilisha IMEI number ya Smartphone.
Process hii ya kubadilisha IMEI inafanya kazi kwenye Android zote ziwe za kuroot au sio za kuroot.
Kwanini unataka kubadilisha
Kuna sababu nyingi ambazo zinazokufanya ubadilishe IMEI ya simu zikiwemo:-
kuna mda simu yako inakuwa haisomi laini inakuambia (SIM ERROR), Unashindwa kudownload Baadhi ya App kutoka Playstore au unapata ERROR inakuambia (This App available for only one time per user) n.k unapopata vitu kama hivyo kwenye simu yako Basi fahamu kuwa IMEI yako imepata Damage hivyo unatakiwa kubadilisha IMEI yako kwa kutumia njia hii ambayo nawaonyesha leo, Lakini pia kuna hasara nyingi unapokosea kufuata masharti / hatua za kubadilisha IMEI ya simu yako ambayo itaku cost kwa kweli, Hivyo unatakiwa ufuate kwa makini njia hizo ili usije kupata hasara baadae.
*.Download App ya Mobile Uncle App play store kwenye android yako.
Download Mobile Uncle App Hapa
*.sasa, Fungua hiyo app.
*.Alafu, chagua Engineer Mode > Engineer Mode (MTK).
*.Shuka chini & Bofya kwenye CDS Information
*.Chagua Radio Information.
*.Utakuta options mbili, Utachagua "Phone 2”
*.Utapata option kama hii AT
*.Sasa, ingiza AT < Tarakimu 15 za IMEI mpya> (Kwa Mfano -AT 123456789012345 )
*.Chagua, SEND AT COMMAND
*.Baada ya hapo unatakiwa kui Restart simu yako alafu utapata IMEI zako mpya za android yako
*.That’s it.
*. Unatakiwa ku-install Xposed kwenye Android yako.
*.IMEI Changer app – Download IMEI Changer kutoka Google Play Store.
*.Internet Connection.
Jinsi ya kubadili IMEI Number ya Android yako
*.Kwanza,
Piga, *#06# kwenye simu yako kupata IMEI number yako ya ukweli (Original).
*.Sasa, Andika IMEI number yako kwenye karatasi au sehemu yoyote kwa matumizi ya Baadae .
*.Alafu, nenda kwenye Xposed> Modules
*.Weka Tiki kwenye IMEI Changer Apkas Module.
*.Restart Simu yako.
*.Baada ya ku-Restart, Utapata IMEI yako original & Na IMEI yako ya zamani .
*.Sasa, Ingiza IMEI Number mpya kwenye- NEW IMEI NUMBERbox.
*.Alafu, gusa kwenye #Apply.
*.Restart tena android yako ili kui set IMEI mpya.
*.Sasa, Angalia tena, Hapo utapata IMEI mpya ya Android Yako (Original)
Hapo Utakuwa ushabadilisha IMEI ya simu yako
USIKOSE HII....Wiki ijayo tutazungumzia kuhusu Ku unlock iPhone,Samsung,Nokia,Blakberry,Motorola, HTC ili zitumie mitandao Yote kwa kutumia Code
Ungana Nasi Facebook BONGO TECHNO
Kama ulikuwa hujui basi jibu ndio unaweza ukabadilisha IMEI ya simu yoyote
kwa kwa kutumia Software Rahisi kabisa
Unaweza ukabadilisha IMEI namba ya Samsung, Nokia, HTC, Micromax, Motorola or simu yoyote ya Android . Njia hii ni salama na rahisi kwa kubadilisha IMEI number ya Smartphone.
Process hii ya kubadilisha IMEI inafanya kazi kwenye Android zote ziwe za kuroot au sio za kuroot.
IMEI ni nini?
Kirefu cha IMEI ni (International Mobile Equipment Identity), Hizi ni namba Za pekee zinazoitambulisha simu husika,Kwanini unataka kubadilisha
Kuna sababu nyingi ambazo zinazokufanya ubadilishe IMEI ya simu zikiwemo:-
kuna mda simu yako inakuwa haisomi laini inakuambia (SIM ERROR), Unashindwa kudownload Baadhi ya App kutoka Playstore au unapata ERROR inakuambia (This App available for only one time per user) n.k unapopata vitu kama hivyo kwenye simu yako Basi fahamu kuwa IMEI yako imepata Damage hivyo unatakiwa kubadilisha IMEI yako kwa kutumia njia hii ambayo nawaonyesha leo, Lakini pia kuna hasara nyingi unapokosea kufuata masharti / hatua za kubadilisha IMEI ya simu yako ambayo itaku cost kwa kweli, Hivyo unatakiwa ufuate kwa makini njia hizo ili usije kupata hasara baadae.
JINSI YA KUBADILISHA IMEI YA SIMU YAKO BILA YA KUROOT SIMU YAKO
*.Download App ya Mobile Uncle App play store kwenye android yako.
Download Mobile Uncle App Hapa
*.sasa, Fungua hiyo app.
*.Alafu, chagua Engineer Mode > Engineer Mode (MTK).
*.Shuka chini & Bofya kwenye CDS Information
*.Chagua Radio Information.
*.Utakuta options mbili, Utachagua "Phone 2”
*.Utapata option kama hii AT
*.Sasa, ingiza AT < Tarakimu 15 za IMEI mpya> (Kwa Mfano -AT 123456789012345 )
*.Chagua, SEND AT COMMAND
*.Baada ya hapo unatakiwa kui Restart simu yako alafu utapata IMEI zako mpya za android yako
*.That’s it.
Jinsi ya kubadilisha IMEI number kwenye Rooted Android
Njia hii ni kwa ajili ya ROOTED Android. Unaweza kubadili IMEI number kwa urahisi kwenye Android Phone.Mahitaji ya kubadilisha IMEI ya Rooted Android (ROOTED DEVICE)
*.Rooted Android Device*. Unatakiwa ku-install Xposed kwenye Android yako.
*.IMEI Changer app – Download IMEI Changer kutoka Google Play Store.
*.Internet Connection.
Jinsi ya kubadili IMEI Number ya Android yako
*.Kwanza,
Piga, *#06# kwenye simu yako kupata IMEI number yako ya ukweli (Original).
*.Sasa, Andika IMEI number yako kwenye karatasi au sehemu yoyote kwa matumizi ya Baadae .
*.Alafu, nenda kwenye Xposed> Modules
*.Weka Tiki kwenye IMEI Changer Apkas Module.
*.Restart Simu yako.
*.Baada ya ku-Restart, Utapata IMEI yako original & Na IMEI yako ya zamani .
*.Sasa, Ingiza IMEI Number mpya kwenye- NEW IMEI NUMBERbox.
*.Alafu, gusa kwenye #Apply.
*.Restart tena android yako ili kui set IMEI mpya.
*.Sasa, Angalia tena, Hapo utapata IMEI mpya ya Android Yako (Original)
Hapo Utakuwa ushabadilisha IMEI ya simu yako
USIKOSE HII....Wiki ijayo tutazungumzia kuhusu Ku unlock iPhone,Samsung,Nokia,Blakberry,Motorola, HTC ili zitumie mitandao Yote kwa kutumia Code
TOA MAONI YAKO
Ungana Nasi Facebook BONGO TECHNO
Tags:
DEVICES
UNAKARIBISHWA KUTOA MAONI YAKO
ReplyDeletemimi ni ya zambia nataka ya tanzania ndugu
ReplyDeleteMbona masomo mengine hatuyaoni una search vitu haviji
ReplyDelete